Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,974
- 24,504
Wamsubiri Spurs sasaNaam wangechukua leo mbele ya Mounriho ndiyo ingekuwa bomba sasa ni kaputi.
Wamsubiri Spurs sasaNaam wangechukua leo mbele ya Mounriho ndiyo ingekuwa bomba sasa ni kaputi.
We kumbe huwa umwangalii huyu kila siku ana save anaitwa DavesavesLeo huyu jamaa kacheza michomo miwili ya maana kabisa
Japo kaicost sana TimuBora hata Hajafunga,, Sterling akifunga huwa anambwembwe sana kama Welbek akiifunga United huwa anashangilia hadi kero
Klabu za Crystal Palace, Aston Villa na Malaga wako kwenye mbio za kumuwania kiungo wa kimataifa wa Australia Massimo Luongo,25 kutoka klabu ya QPR. (SBS)
Hahaaa zile saves za maana si wakati woteWe kumbe huwa umwangalii huyu kila siku ana save anaitwa Davesaves
Klabu za Crystal Palace, Aston Villa na Malaga wako kwenye mbio za kumuwania kiungo wa kimataifa wa Australia Massimo Luongo,25 kutoka klabu ya QPR. (SBS)
Messi Mesiah [emoji4][emoji4]Mida ya Barcelona
Japo kaicost sana Timu
Yaaap yaani full burudaniMessi Mesiah [emoji4][emoji4]
Yani anaiwaza UCL ambayo ameshatoka yani upuuzi tu.Mie nimeshangaa upangaji wa timu, dharau hizi mbaya sana kwanini Aguero hakuanza?
Kweli...ila ubingwa wa ligi ni wao..Yani anaiwaza UCL ambayo ameshatoka yani upuuzi tu.
De Bruyne naye kaanzia benchi wakati hii ndo ilikuwa mechi ya kuwajengea heshima
Yes City tayari ni mabingwa akijijengea heshima tu.Kweli...ila ubingwa wa ligi ni wao..
Hakuwa makini,,, wameingia mchezoni wakijua watapata matokeo km ya game ya kwanza,, Aguelo anaanzaje benchi kwa mfano,, Pep anadharau flani hvJapo kaicost sana Timu