Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sijaelewa mkuu. Naomba ufafanuzi. Uelewa wangu wa soka ni wa level ya chekechea mkuu ila nimesoma mara nyingi Messi na Pele wakilinganishwa.hahaaa hapa hujamtendea haki muuliza swali ....
ni sawa na mbagala na ilala wapi mbali "" then ujibu kwani mbagala siipo temeke
HuhuhuhuHaaaa we hama tuu
Nendaaaa! Wewe inakufaa Arsenal tena
GGMU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NoooHuhuhuhu
Akuu sitakiiii
Kwa vile kakimbau mbau?Haka kabishi aisee..
hahaaa mimi mwenyew sifuri tu ''" ila nilidhni kuwa ungemjibu Jamaa kuwa kama messi angekuwa mweusi "" ingekuwa ni hivi na hivi "" maana swali lake liliuliza hivi messi angekuwa mweusi ingekuwaje ""Sijaelewa mkuu. Naomba ufafanuzi. Uelewa wangu wa soka ni wa level ya chekechea mkuu ila nimesoma mara nyingi Messi na Pele wakilinganishwa.
Hata usoni...Kwa vile kakimbau mbau?
Nipo AsigwaWapi ledada???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba ya jakito mimi ni chachawa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mida hii mkuu? Wenye wao saa hizi tayari wameshaitwa kwenda kwenye majukumu muhimu zaidi kuliko kula likes...
Ni swali la kidhahnia mno na linataka premises kibao hasa ukizingatia kuwa hatujui kama muulizaji amekusudia nini. Anarejea ubaguzi wa rangi? Ni stamina ya wachezaji weusi? Ni nini? Ndiyo maana nikajisemea tena bila kufikiri sana amlinganishe na THE GOAT Pele (mweusi) hasa ukizingatia kwamba Messi naye anatajwa kuwa ni bora kuliko hata Pele.hahaaa mimi mwenyew sifuri tu ''" ila nilidhni kuwa ungemjibu Jamaa kuwa kama messi angekuwa mweusi "" ingekuwa ni hivi na hivi "" maana swali lake liliuliza hivi messi angekuwa mweusi ingekuwaje ""