Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pogba umenipotezea hero yangu wewe

439639439_135541.jpg
 
Ni swali la kidhahnia mno na linataka premises kibao hasa ukizingatia kuwa hatujui kama muulizaji amekusudia nini. Anarejea ubaguzi wa rangi? Ni stamina ya wachezaji weusi? Ni nini? Ndiyo maana nikajisemea tena bila kufikiri sana amlinganishe na THE GOAT Pele (mweusi) hasa ukizingatia kwamba Messi naye anatajwa kuwa ni bora kuliko hata Pele.
hahaaa haya bhana""
so wewe mtazamo wako niupi hapo baina ya hao watu wawili "" tukiweka pembeni ubaguzi wa Rangi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba ya jakito mimi ni chachawa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aaaa wapi. UCHACHAWA ni kazi ngumu na kwa mabinti sijui kama inawezekana. Asubuhi tu ya leo kuna mdau hapa alikuwa anaapa lazima akupate. Huo ugumu utatoka wapi?
 
Mfanyabiashara anayeshika nafasi ya kwanza kwa utajiri barani Afrika, Aliko Dangote amekosoa utawala wa Kenya kwa ubinafsi wao na kuendelea kushindwa kuweka mbele masuala yenye maslahi kwa taifa linapokuja suala la maendeleo.

Akizungumza katika mahojiano na mwandishi mashuhuri wa Kenya Jeff Koinange, Dangote alisema alifuta mipango ya kujenga kiwanda kikubwa cha saruji baada ya kukatishwa tamaa na watoa maamuzi ambao aliwaita ni “mafisadi kuliko Wanigeria.”
 
Akizungumza katika kipindi cha alfajiri cha studio za redio FM, Jeff alielezea mazungumzo binafsi aliyofanya na Dangote alipohudhuria hafla iliyoandaliwa na bilionea huyo kwa ajili ya kumuaga binti yake mwezi uliopita nchini Nigeria.

“Nilimuuliza, ‘Al Hajj lini utakuja tena Kenya?’ na yeye alisema ‘Jeff, kuna watu wako kule (Kenya) ambao wametanguliza ubinafsi wao na maslahi binafsi kuliko ya taifa. Sikuwahi kufikiria Kenya ingekuwa imekubuhu kwa rushwa kuliko Nigeria,’” alielezea Koinange.
 
Aaaa wapi. UCHACHAWA ni kazi ngumu na kwa mabinti sijui kama inawezekana. Asubuhi tu ya leo kuna mdau hapa alikuwa anaapa lazima akupate. Huo ugumu utatoka wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alikuwa anamzungumzia huyo model kwenye avatar kama sijakosea[emoji38]

Kwa nini tusiweze UCHACHAWA?
 
Dangote, anayekadiriwa kuwa na utajiri unaofikia Shilingi za Kenya 1.5 trilioni kwa utafiti wa jarida la Forbes, alitembelea Kenya Septemba 2013 katika msafara wa wafanyabiashara matajiri 50 kutoka Nigeria walioongozana na rais wa wakati huo Goodluck Jonathan.
 
Tajiri huyo wa Nigeria hivi karibuni alisogeza hadi mwaka 2021 kuleta kiwanda chake nchini baadala ya mwaka ujao.

Dangote anafahamika kwa kupanga bei ya chini ili kudhibiti soko jipya na hatua ya kusogeza mbele itawapa nafuu wafanyabiashara wengine katika soko hilo ambalo linashuhudia ushindani mkali.
 
Back
Top Bottom