[emoji106][emoji106]7.Michezo
Utakubaliana na mimi kwamba watanzania wengi ni wapenda michezo (JAPO HAWAPENDI MAZOEZI YA VIUNGO) Wengi wa Watanzania huingia mtandaoni kupata habari za soka hasa za bara la ulaya.
Sijahama sa zile nilikuwa natania tu alafu kiroho cha shabiki wa arsenal kiliniingia ndo maana.Hahaa we mbina Ulisha hama nimekuomba tuu hapa ubaki kidogo. Ila nadhani sasa tuko vzuri ndio ukarudi tena hutako shida ati
Teh teh
Hilo tuKwenu uvumilivu maradufu unahitajika !!!
Kumbe na wewe[emoji23] [emoji23]yaaani najikaza tu"" lakini naumia mnooo kuziona...hahaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijahama sa zile nilikuwa natania tu alafu kiroho cha shabiki wa arsenal kiliniingia ndo maana.
Mimi sijahama.