Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

79447c08-4497-4b4c-a869-45246f7acb0a.jpg
 
Kujipenda sio uchoyo, ” kuhusu mimi” ni njia. ni katika kuheshimu hisia hata kama sio za kweli, kuwa na muda wa kipekee, na kujijali kwa njia ambayo ungeweza kuwajali wengine
 
Hasa wale watoaji wanaweza kuwepo kwenye kundi hili. kama ni mmoja wa kundi hili , ni wakati sasa wa kuanza kujiuliza mwenyewe,” kwa nini? ” kitu gani kinakufanya usipate upendo kama ambao unahitaji kuupata, una nia nzuri na unahurumia familia na marafiki lakini jibu la swali lako hupati.
 
Ngoja tujaribu zoezi dogo rahisi. Ningependa uende kwenye kioo chako mwenyewe. Nina maana ujiangalie kwenye macho yako mwenyewe.Unamfahamu huyo mtu? Ningependa umwambie huyo mtu kuwa Unampenda, na kwamba ni mkamilifu.
 
Ok, umeweza? Umeweza kujitazama machoni na sio wewe mwenyewe? Unaweza kumaliza zoezi hili bila ya ugumu? Au unaona kama nakuambia ukate mokono wako? Kama ni ngumu kwako, Unatakiwa kufanya zoezi hili mpaka likukolee na uamini hilo, haijalishi itachukua muda gani.
 
Mitazamo yetu haina umuhimu wala sehemu, sio tu kwenye kujipenda. lakini hata kuwa wazi. kupenda, kuwa na moyo wa afya. kubeba hisia mbaya na kujisemea maneno mabaya yanaharibu roho zetu na uhai wa miili yetu.
 
Back
Top Bottom