Aaaah hii misamiati yaibuka kila leo...Mara maji ya uzima,, halafu nasikia mama akiwa na gubu ndani mara kwa mara + hasira telee, anakuwa ana upungufu wa maji ya UZIMA[emoji28][emoji28]Mwambie dikishonari ya misamiati nipo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Swali?[emoji38] [emoji38] tegemea swali
Uanachama wangu kwenye CHACHAWA haujagongomewa kwenye jiwe ohooo. Chama chenyewe mwenyekiti wake wala haeleweki...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba ni CHACHAWA[emoji124] [emoji124]
nieleze wewe tu
[emoji15] [emoji15] kimekufa lini?Heeeeh??[emoji134][emoji134][emoji134]
Huyu hawezi[emoji23][emoji23]
Halafu chama kimekufa
Uliza swali[emoji38][emoji38]Wewe naona waweza nisaidia
(Ya uzima) ilikuwa kwenye mabano jamani....Maji ya uzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Nshapata msamiati mpya leo
Wuhhuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi ni shida kwakweliAaaah hii misamiati yaibuka kila leo...Mara maji ya uzima,, halafu nasikia mama akiwa na gubu ndani mara kwa mara + hasira telee, anakuwa ana upungufu wa maji ya UZIMA[emoji28][emoji28]
Heeeeeh[emoji134] [emoji134] [emoji134]Uanachama wangu kwenye CHACHAWA haujagongomewa kwenye jiwe ohooo. Chama chenyewe mwenyekiti wake wala haeleweki...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi[emoji124] [emoji124][emoji15] [emoji15] kimekufa lini?
Kwahiyo ilikuwa wamaanisha "maji" [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125](Ya uzima) ilikuwa kwenye mabano jamani....
Weweee!Heeeeh??[emoji134][emoji134][emoji134]
Huyu hawezi[emoji23][emoji23]
Halafu chama kimekufa
Aaaah wapiWeweee!
Mi mgumu granite cha mtoto. Sema tu chama hakina viongozi wa kueleweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vyoteSwali?
Kushushuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uanachama wangu kwenye CHACHAWA haujagongomewa kwenye jiwe ohooo. Chama chenyewe mwenyekiti wake wala haeleweki...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UwiiiiiKaone! Mara paap nabisha mlangoni. Hujakaa sawa Mwakaleli naye huyu hapa na saksafoni lake anaburuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata migraines. Maji ya uzima yanatibu magonjwa mengi hasa yakinyunyiziwa asubuhi. Hubadilisha mood na mnyunyiziaji na mnyunyiziwa wote huwa na furaha siku nzima; na production yao kazini huongezeka sana. Na yakinywewa faida zake zinaongezeka marafudu kwa mnywaji !!!Aaaah hii misamiati yaibuka kila leo...Mara maji ya uzima,, halafu nasikia mama akiwa na gubu ndani mara kwa mara + hasira telee, anakuwa ana upungufu wa maji ya UZIMA[emoji28][emoji28]