myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni inaaga
Sasa hivi washatengeneza usugu wa dawaGonorrhea ni mdudu mjanja sana, kila tunapozindua aina fulani ya tiba kuitibu, mdudu anazidi kuongeza nguvu za kuishinda tiba hiyo,” BBC inamkariri Dk. Teodora Wi.
[emoji38] [emoji38]Heeeeh![emoji134][emoji134][emoji134]
Cc:wakoromije wote ndani ya uzi huu[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 738258
[emoji736][emoji736][emoji736]Sasa hivi washatengeneza usugu wa dawa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kaone! Mara paap nabisha mlangoni. Hujakaa sawa Mwakaleli naye huyu hapa na saksafoni lake anaburuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo antibiotics siku hizi zinatumika pasi na sababu ya matumizi,mafua kidogo unapewa midawa bila sababu ya msingiKuna hii sugu haisikii antibiotic yo yote. Nyeti zinadondoka unaziona hivi hivi laivu...
Mti wenye matunda.......Jizazi. Tuliwakoseaga nini jamani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba ni CHACHAWA[emoji124] [emoji124][emoji28][emoji28][emoji28], Shimba kaelewa, omba msaada.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe,sijui tu....Mwenyewe ameelewa...
Injini inatokota....
Fuatilia comment yake...
Kwema?
Ooh! Lakini kaelewa mbali na UGUMU wake SUGU[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] shimba ni CHACHAWA[emoji124] [emoji124]
nieleze wewe tu
Maji ya uzima[emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona hivyo ujue injini inakaribia kuover heat. Maji (ya uzima) yanahitajika haraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] tegemea swaliCc:wakoromije wote ndani ya uzi huu[emoji23][emoji23]