Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

De Bruyne amekuwa akipewa nafasi kubwa ya kunyakua tuzo hiyo kutokana na mchango wake alioutoa kwenye kikosi cha Man City katika ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

Lakini, Salah, aliyenaswa kwa Pauni 34 milioni tu kwenye dirisha la usajili wa majira ya kiangazi mwaka jana akitokea AS Roma, ameonekana kuwa tishio akiwa amefunga mabao 29 kwenye Ligi Kuu England msimu huu kabla ya mechi za jana Jumamosi.
 
Nimempigia kura Salah awe mchezaji bora wa mwaka anastahili. Sioni mwingine kwenye timu yangu, hivyo nadhani Salah anastahili. Sijui kama yeye atanipigia kura mimi, nataka mfahamu tu, kama atashinda basi ameshinda. Yupo juu sana katika anga za akina Kane, mimi na David (Silva). Hao ni wachezaji wanne ambao wamekuwa bora kwa muda mrefu sana mwaka huu. Nataka kuwa mkweli kwenye kura yangu, anastahili hakika. Kama wengine hawatampigia, hilo mimi sijali,” alisema.
 
Kwenye timu ni kweli kabisa.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], haupati magonjwa kirahisi[emoji28][emoji28][emoji28], unakwepa hadi shabaha za mlengaji.
Aaaa wapi! Ukavu wenyewe waweza kuwa ni dalili mojawapo ya magonjwa. Na ulengwaji wake wala si wa dunia hii. Hata kama uwe kipofu hukosei [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom