ha ha ha6.Kinyonga ni kiumbe anayethamini sana usalama.
Na ndio maana hata atembea hujiuliza Mara Mbili kabla ya kushusha mguu wake.
[emoji28][emoji28][emoji28], Kibaba kinamwagikia
Oufwa tabhani, chibhwile chikujuneUchokozi tu...[emoji1][emoji1][emoji1]
Kuna documentary nimeiona majuzi ya konokono wa rangi wale wa baharini,inaonyesha wakutanapo wawili hupigana na anaeshindwa ndo anakuwa jike na "ananjunjuliwa" hapo hapoKonokono ni viumbe wanaomiliki jinsia mbili yaani huyo huyo ni jike na huyo huyo ni dume, utajiuliza sasa inakuwaje kwenye nanii ! Maana najua niliposema tuu hivyo ubongo wako umepitiliza huko kwenye nanii ! Iko hivi si kwamba kwa umiliki wa jinsia hizo basi ndio hujitosheleza mwenyewe kimahaba, hapana konokono nao hukutana wawili na ambaye mwili wake utakuwa na joto ndiye atabeba jukumu la kutaga, kwa taarifa yako konokono hutaga mayai zaidi ya 70, chakula chao kikuu huwa majani hususani mboga mboga, matunda ikiwa ni pamoja na mimea iliyooza.
Kwahiyo madume ya vinyonga yana vibamia..??? [emoji28][emoji28],4. Kinyonga huwa hazai
Maumbile ya jinsi yake huwa hayawezi kutanuka hivyo namna pekee ya kuwatoa watoto wake tumboni ni tumbo lake likimzidia uzito tuu, hujiachia toka juu na kupasuka ndipo watoto hutoka na mama kufa.
he he he[emoji23] View attachment 738383
[emoji23] [emoji23] [emoji23]aiseeeKuna documentary nimeiona majuzi ya konokono wa rangi wale wa baharini,inaonyesha wakutanapo wawili hupigana na anaeshindwa ndo anakuwa jike na "ananjunjuliwa" hapo hapo