Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna Atakaepinga Kwamba Ujio Wa Sayansi Na Teknolojia Umerahisisha Sehemu Kubwa Ya Maisha Yetu! Lakini Unajua Vifaa Vya Kielektroniki Vina Madhara Gani Kwenye Afya Yako? Kutokana Na Vifaa Hivi
 
(Kama Simu Na Kompyuta) Kuwa Sehemu Ya Maisha Yetu, Imekuwa Vigumu Kuviepuka Kwa Asilimia Miamoja Lakini Hizi Ni Njia Fupi Za Kupunguza Madhara Hayo.
 
Epuka Kutumia Simu Wakati Mtandao Ukiwa Chini Sana. Hii Hufanya Simu Yako Kutumia Nguvu Kubwa Kupata “Network” Na Kukuweka Kwenye Hatari Zaidi Kwani Wakati Huo Simu Hutoa Miale Zaid
 
Usiweke Simu Sikioni Kabla Ya Unaempigia Hajapokea. Utafiti Unaonesha Kwamba Simu Hutumia Nguvu Zaidi Inapotafuta Mtandao Kuliko Wakati Mwingine Wowote. Hivyo Unashauriwa Kutoweka Simu Sikion Unapoanza Kumpigia Mtu
 
Back
Top Bottom