Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

28157671_172242283571609_2873812082891948032_n.jpg
 
Kama madhara yake ni chanya,basi, mshukuru Mungu kwa sadaka iliyo nona. Na kama madhara yake ni hasi,jikabidhishe mikononi mwa Mungu kwa maombi mazito na kufunga.Washikirishe wale unao waamini ya kufunga
Matokeo ni chanya ndoto ikiwa yanihusu mie.. Pia kuna muda nikimuotea mtu mwingine inakuwa aidha chanya/hasi.
 
Matokeo ni chanya ndoto ikiwa yanihusu mie.. Pia kuna muda nikimuotea mtu mwingine inakuwa aidha chanya/hasi.
Niliwahi kupitia kipindi kama hicho,nikimwangalia mtu nilikuwa na uwezo wa kumwambia anacho kifikiria kwa wakati huo na inakuwa kweli... Waliniona ni mchawi. Lakini hali hiyo ilipotea yenyewe baada ya muda kupita
 
Una kipaji kutoka kwa Mungu ukitafakari kwa kina unaweza ukajua nini kinatokea au kitatokea. Niliwahi kuambiwa twende kwenye sherehe moja kubwa sana nikakataa nikasema hiki kinaweza kutokea na kweli kikatokea kile kile nilichokisema lakini mie huwa sioti ndoto za hivyo.

Matokeo ni chanya ndoto ikiwa yanihusu mie.. Pia kuna muda nikimuotea mtu mwingine inakuwa aidha chanya/hasi.
 
Back
Top Bottom