myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ya kijiti..Ipi labda, ya kijiti ama ya kumung'unya???
Ya kijiti..Ipi labda, ya kijiti ama ya kumung'unya???
Oooh!Waliowahi kutafuna wanadai ni watamu sana LOL!
Ipi labda, ya kijiti ama ya kumung'unya???
Kabisa..Siku ndiyo INAYEYA Mkuu Myoya
Kama madhara yake ni chanya,basi, mshukuru Mungu kwa sadaka iliyo nona. Na kama madhara yake ni hasi,jikabidhishe mikononi mwa Mungu kwa maombi mazito na kufunga.Washikirishe wale unao waamini ya kufungaNi nje kabisa na masuala ya KONOKONO.
Asubuhi kesho ntakujibuha ha ha ha mengi kama yapi yakhe.....
😱😱Eewaaaa.... Umezunguka weeee kumbe lengo lilikuwa hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani unapo muongelea konokono lazima awe "konokono" halisi,asikose unyevu nyevu kurahisisha mtreeezo wakati wa....
Pyaar bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upo ka ntoto.Ipi labda, ya kijiti ama ya kumung'unya???
Jana uliota nini?Jamani wapendwa wa likes, mwenzenu siku hizi kila ninachokiota nikiamka asubuhi siku haiishi kinatokea....
Hii hali imeanza last week..
Yaani kinatokea kama nilivyokiota..hakuna chochote kinachoongezeka wala kupungua...
Kweli..Raha jipe mwenyewe
![]()