Doh mshana anahitajika hapaJamani wapendwa wa likes, mwenzenu siku hizi kila ninachokiota nikiamka asubuhi siku haiishi kinatokea....
Hii hali imeanza last week..
Yaani kinatokea kama nilivyokiota..hakuna chochote kinachoongezeka wala kupungua...
Yeah umenipa ushauri mzuri mno nitazingatia hilo mkuu. [emoji4] [emoji120]Pia ni vizuri sana kila baada ya miezi sita kwenda kusafishwa kwa dentist. Hii ni afya njema kwa kinywa.
wakiamka no kwenda job stopisha zoezi kwanza... [emoji23] [emoji1]
Hebu yaweke hapa matukio mawili,kama lipo na la kufakamia "konokono" naomba liwe la kwanzaJamani wapendwa wa likes, mwenzenu siku hizi kila ninachokiota nikiamka asubuhi siku haiishi kinatokea....
Hii hali imeanza last week..
Yaani kinatokea kama nilivyokiota..hakuna chochote kinachoongezeka wala kupungua...
Ohhhppppssssss....[emoji29] [emoji29] [emoji29]
Ni kweli mkuu, lazima tujiongeze kimtindo japo hakulipi ila angalau tuishi.Mkuu hizi ajira zenyewe za kubembeleza hizi!? Si unafahamu vyuma vimekaza kitaa? MUJINI hukawii kuadhirika ukizembea kazi.
Ni nje kabisa na masuala ya KONOKONO.Hebu yaweke hapa matukio mawili,kama lipo na la kufakamia "konokono" naomba liwe la kwanza
Ni kweli mkuu, lazima tujiongeze kimtindo japo hakulipi ila angalau tuishi.
Konokono.....!Ni nje kabisa na masuala ya KONOKONO.
Ndiyo konokonoKonokono.....!