AiseeUna kipaji kutoka kwa Mungu ukitafakari kwa kina unaweza ukajua nini kinatokea au kitatokea. Niliwahi kuambiwa twende kwenye sherehe moja kubwa sana nikakataa nikasema hiki kinaweza kutokea na kweli kikatokea kile kile nilichokisema lakini mie huwa sioti ndoto za hivyo.
Jana sikuota chochote.Jana uliota nini?
[emoji28][emoji28][emoji28], kumbe wamaanisha hiyo,, ndio nakulaga[emoji28][emoji28]Pyaar bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upo ka ntoto.View attachment 738419
Ulitawaliwa na "konokono" Hivi wingi wa konokono ni vyonokono eeh?Niliwahi kupitia kipindi kama hicho,nikimwangalia mtu nilikuwa na uwezo wa kumwambia anacho kifikiria kwa wakati huo na inakuwa kweli... Waliniona ni mchawi. Lakini hali hiyo ilipotea yenyewe baada ya muda kupita
Roho wa Bwana alikuongoza.Nilishangaa sana na wala si kama nilifikiria sana kujibu.