Achilia. usitake kufuatilia kila kitu. haijalishi maisha yako yakoje, ukitaka kuwa na furaha usifikirie kuhusu maisha ya baadae yatakuwaje, kwa sababu maisha unayotaka yatakuja kutokana na jinsi ulivyo leo
Usimlazimishe mtu akupende au awe sehemu ya maisha yako, kumbuka kila mara kuwa mtu sahihi atatokea kwa ajili yako. rahisisha mambo, jipende wapende watu.
Hakuna haja ya kuogopa hata kama utakufa, usifikirie wale ambao unawaacha, kama utaacha mwili wako unafikiri nani atajali? Utakuwa umeondoka.Wale waliopo nao wanatakiwa kujifunza kuishi wakati uliopo. hio ndio njia pekee ya kuishi maisha mazuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.