Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapi Juma Mhina
Ilikuwa 1990 siku timu ya Malindi inachukua kombe la ubingwa wa muungano pale Ccm Kirumba,
Juma Mhina alisababisha goli la kizembe sana,
Wachezaji wa Pamba na mashabiki wao walimgeuka na kumpa kichapo cha uhakika.
 
WAFU wawili walikuwa wakipiga story huko...r.i.p
Mfu 1y
mfu 2yo
mfu 1:mwenzangu ulikufaje?
mfu2:story ndefu,kwa kifupi niliingia kwenye friji ikajiloki nikakosa hewa nikaganda nikafa!
mfu 1:duh inasikitisha
mfu 2:we ulikufaje?
mfu 1:mshtuko wa moyo
mfu 2;tobaaaa,chamno?
mfu 1;nilirud nyumban ghafla nikakuta viatu vya mwanaume sebuleni,na vile wife alivokuwa na waswas nikajua kuna mwanaume ndani,nikazunguka nyumba nzima chumbani choon bafuni jikoni,lakini ckumuona,nikapatwa na mshtuko wa moyo nikafa!
mfu 2:ayaaaaaa ungefungua friji tungekuwa hai wote leo!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
img_20180324_121956-jpg.723934
Anafaa kila idara labda kasoro zisizoonekana kwa nje
 
Back
Top Bottom