ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kaanza bangi mapema
Kumkuna mtu raha sana.Umefikishwa sehemu yako mkuu
Huku kwema mkuu,Kumkuna mtu raha sana.
Kiongozi habari ya siku nyingi? Ni muda hatuja onana mkuu wangu.Nae Kichwa Kichafu kapotea kabisa, kulikoni huko Ikwiriri?
Mkuu unapatikana Ikwiriri??Huku kwema mkuu,
Kichwa ni mmoja kati ya watano waliokamatwa na Mali zinazotumika kwenye ujenzi wa SGR.