Hujakosea....Unapenda dola dola wewe utakuwa mchagga siyo bure... [emoji13] [emoji1]
Kijana yupo nje na Mada husika.
Jiunge unipigie kura niukwae uenyekiti...Nilikuwa nataka kujua tu kama nawe mshirika wa chama...Polee
Mmmmh..... [emoji39] [emoji13] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
MmmmmhhhhhhHalafu wese la kweli ni lazima liwe na mabunye mabunye mithili ya uji uliogoma kuiva [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Huyo dogo mwenye miwani hapo mbele ai swea hata hajui kinachoongelewa. Mawazo yake yako mbali sana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ili aone kila anataka kuonaAnatamani kumwambia Mwalimu mie sielewi hiyo hadi ukaandike ubaoni.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Anatamani kumwambia Mwalimu mie sielewi hiyo hadi ukaandike ubaoni.
Marhaba mdogo wangu, umekula??Dada pyaar shikamoo... [emoji16] [emoji51] [emoji119]
Ukisikia fujo ndo hiziFlexibility!
![]()
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kabisa Pyaar
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bado nataka chipsi na mayai ya kuchoma...Marhaba mdogo wangu, umekula??
Hahahaha!!! BAK bwanaUnajua Walimu hawa hata somo wanalofundisha kama ni gumu na Wanafunzi hawalipendi, lakini akiwa amejaaliwa Neema za Allah basi darasa huwa linajaa. Si kwamba Wanafunzi wapo kumsikiliza Mwalimu wao la hasha wapo kwa mengine kabisa.