ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Enzi zetu tuliita tukunyema
Mate wakti mwingine hayana nidhamu sawasawa
Mchana wa chakula-myoya
Nisiseme kitu
Ni mmoja ama?
Basi ni jambo la kheri..Nafurahi kusikia hivyo, Mie niko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu.
Sichangii kitu sbb faida yake kubwa mno
Nataka kugombea uenyekiti wa CHACHAWA kwa sababu mwenyekiti wetu wala haeleweki. Mbona unauliza?Yaani zaidi ya hevi....haubebeki
Hivi nawe upo kwenye chama eeh?
Unapenda dola dola wewe utakuwa mchagga siyo bure... [emoji13] [emoji1]
Nilikuwa nataka kujua tu kama nawe mshirika wa chama...PoleeNataka kugombea uenyekiti wa CHACHAWA kwa sababu mwenyekiti wetu wala haeleweki. Mbona unauliza?
He he he... Kama kawa unataka watu waage ofisini kuwa wana dharura. [emoji1]
Kijana yupo nje na Mada husika.
Halafu wese la kweli ni lazima liwe na mabunye mabunye mithili ya uji uliogoma kuiva [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Nisiseme kitu