TamuuBeef stew lasagna [emoji13] [emoji1] [emoji91] [emoji119]
Kunduva habar yako i missTamuu
Huku zimetuacha salama kabisa..Tumeongeza tu idadi ya mablanketi.Kwema asee Mvua zimewaacha salama huko
Alikimbia jumla. Sijui alipotelea wapi mtani wangu yule. Alikuwa anaiendesha makapuku kiaina...I hope yuko salama huko aliko..Bitoz makapuku forum imetimiza miaka miwili leo..
Kwema mkuu Mondray? Pilika pilika tu za kutafuta ugali hakuna jipya. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE habar yako mkuu
Naona kimya leo
Kisha nikaona. Joka jeupe lenye vichwa saba na ndimi tisa ziwakazo moto wenye kutisha. Sauti ya baragumu kuu ikatoka katika kiti cha enzi mbele ya wale wazee 24....@Capitlapool habar yako mfuasi wa Ellen G white
Nipo my dear,mzima?Upo mamie?
Yaan dah maisha hayaHuyu dogo amenisikitisha sana (kama ni kweli). Mungu Amsaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]