Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ushindi huo wa jana umewafanya Arsenal kufikisha pointi 54, pointi 13 nyuma kuifikia timu inayoshika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hiyo, Tottenham Hotspur, ambao wanalingana pia na timu inayoshika nafasi ya tatu, Liverpool lakini wababe hao wa Anfield wakiwa mbele kwa mechi moja.