Msela wa Mwakaleli huyooo....
Hahahaha
Nimekumiss piaSafi sana Ledada
Nimekumisi misi kiaina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo utaona faida ya kuwa kiziwi.Raha yake ni wakati uko chumbani na mke wa mtu, nje kuna watu wanakuomba ufungue mlango!
Mme wa mwanamke ndo anakuomba kwa sauti nyembamba na ya unyenyekevu mkubwa,
"Bilionea Asigwa eeh fungua tu sinaa kituu kibaya kwaanii wewe uuu rafikii yaanguu eti fuunguua eeeh"
Wakati huohuo watu wanamuomba apunguze jaziba na aweke panga pembeni.