Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

184C955D-4EBB-4B3F-94E4-22994F65C3B3.jpeg
 
Msela wa Mwakaleli huyooo....

Ngoja nisome vibao vya matangazo kule nyuma...
.....Nyaaa...nyaaanz.....Nyaaaanzaaa...
Kumbe sio wa Mwakaleli.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]woiyoiyoo kila mtu na demu wake,kila mtu na mkoromije wake [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji443] [emoji444]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo zamu ya koromije
 
Sikusutwa nyanya nilinuniwa tu na kuonekana mbaya[emoji55] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani nataka tena umama ushauri[emoji58] [emoji23] aki sitorudia
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana.
Haya mambo ni magumu,waweza mshauri mtu kwa uzuri tu ila mwisho wa siku ndo kama hivyo waonekana mbaya.
Hawa dawa yao unawajibu,itaneni kaeni muongee basiii
 
Back
Top Bottom