Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo zamu ya koromije
 
Sikusutwa nyanya nilinuniwa tu na kuonekana mbaya[emoji55] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani nataka tena umama ushauri[emoji58] [emoji23] aki sitorudia
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana.
Haya mambo ni magumu,waweza mshauri mtu kwa uzuri tu ila mwisho wa siku ndo kama hivyo waonekana mbaya.
Hawa dawa yao unawajibu,itaneni kaeni muongee basiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…