Tuliamua tusizike kwasababu ni kwanini wenzetu (mwajiri) hawakwenda kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola wakati amepata tatizo, lakini mwili una makovu kama mtu aliyeungua, huku wengine wakisema amechanwa ubavuni na kuhisi ametolewa figo ikabidi tuwe na wasiwasi”alisema Simbambili.