Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Me sitoi likes natoa quotes,
Sibagui mtu nipo kote kote,
Ni free qoutes natoa siyo notes,
Nikiwa jamii ya forum niko hope,
Zetu ni kuburudika hakuna stori za pope,
Daily night wana jf kukesha kama popo,
Natoa quotes tu nikiwa tu jeshi kota,
for ur love beef lasagna bado nasota,
Rain up cold up pyaar anataka sweta,

( freestyle rap zingine bhanaaa )

[emoji444] [emoji441] [emoji16] [emoji23] [emoji13] [emoji1]
Sidhani kama sweta tu litatosha.
 
Hata masitirongu womani wameenda kwa Makonda?
Sijui kama tutapona
6eadb7ba6bcce43608f6acf51f76ee82.jpg
 
Ina maana hata kama ni mchepuko na unausaidiaga saidiaga? Hii itakuwa zali aisee...

Sasa siturongi wumani kama huyu naye kaenda, michepuko yetu huku Mbagala si ndiyo itakuwa mstari wa mbele kabisa?
Aisee!!! Najiandaa kuiona picha yangu kwa Tv...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee!!! Najiandaa kuiona picha yangu kwa Tv...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zaliiiii !!!

Mama Abdallah akiniibukia kwa Makonda nitamshangaa sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kumuona kipindi kilee kwenye biashara ya vyakula, baada ya muda kupita nikaja muona kwa Tv...Alinivutia sana,nikasema tu "atafika mbali".
Sikutarajia kuwa angekuja kuwa mjinga kiasi hiki wakati alisha maliza vikwazo vyote!!!
Kipindi chake bado kinaendelea kwenye TV?...

Huyo hapo mkuu. Endelea kunipigania niachiliwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom