Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

245108343_220060.jpg
 
Amesema asubuhi kuna mtoto wa tajiri wake alikwenda kumuamsha lakini hakuamka ndipo wakastuka kwanini haamki na kupelekwa hospitali ambapo daktari aliwaambia kuwa amefariki.

Kamanda wa polisi mkoa wa Tanga, Edward Bukombe alisema taarifa za daktari zinaeleza kuwa mwili wa marehemu haujaonekana kuchanwa wala kupasuliwa popote na alama alizokuwa nazo ni za kawaida kwa mtu aliyefariki na ndani ya zaidi masaa24 akawa hajapatiwa huduma yoyote.
 
Amesema ripoti inaonyesha ni kifo cha kawaida na mwili kuwa na malengelenge ni kwa kuwa haujawekwa dawa tangu afariki na kusafirishwa hali hiyo ndio husababisha mabadiliko kwa mtu aliyefariki.

Baada ya ripoti ya daktari kubainisha kuwa marehemu hakufanyiwa jambo lolote katika mwili wake ndugu wa marehemu na wale waliokuwa wakituhumiwa walikubaliana na kwenda kuzika ikiwa ni siku mbili tangu kufariki kwake
 
Toa likes upate likes ndio mtindo
Me sitoi likes natoa quotes,
Sibagui mtu nipo kote kote,
Ni free qoutes natoa siyo notes,
Nikiwa jamii ya forum niko hope,
Zetu ni kuburudika hakuna stori za pope,
Daily night wana jf kukesha kama popo,
Natoa quotes tu nikiwa tu jeshi kota,
for ur love beef lasagna bado nasota,
Rain up cold up pyaar anataka sweta,

( freestyle rap zingine bhanaaa )

[emoji444] [emoji441] [emoji16] [emoji23] [emoji13] [emoji1]
 
Me sitoi likes natoa quotes,
Sibagui mtu nipo kote kote,
Ni free qoutes natoa siyo notes,
Nikiwa jamii ya forum niko hope,
Zetu ni kuburudika hakuna stori za pope,
Daily night wana jf kukesha kama popo,
Natoa quotes tu nikiwa tu jeshi kota,
for ur love beef lasagna bado nasota,
Rain up cold up pyaar anataka sweta,

( freestyle rap zingine bhanaaa )

[emoji444] [emoji441] [emoji16] [emoji23] [emoji13] [emoji1]
Memba mpya wa WASAFI. Unaweza mkuu.
 
Back
Top Bottom