Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipindi chake bado kinaendelea kwenye TV?...

Huyo hapo mkuu. Endelea kunipigania niachiliwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesema tusaidiane,chomekeamo na wewe basi
 
Maisha ni kufurahi ndugu yangu, tusilale na mizigo vifuani mwetu.Tuwaachie nafasi malaika wa kutulaza na kutuotesha njozi za kutufundisha jinsi ya kuwa na hekima na busara.
Nikikukwaza usikasirike,sina kwa kwenda ndugu yangu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Busara hizo. Na tusiwekane kwenye ignore list jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kona watambana tu. FBI wameamua kula nae sahani moja, alijiona yuko juu ya sheria lakini jamaa wamemkomalia hasa! [emoji23][emoji23]
Cha ajabu poll #s kwa hillibillies wapiga kura wake ndo zinazidi kupanda. Zamani skendo kama hizi zilitosha kumwachisha mtu uraisi na au kumkosesha ushindi. Lakini lenyewe limo tu...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zaliiiii !!!

Mama Abdallah akiniibukia kwa Makonda nitamshangaa sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...
Alivyoondoka na makengele yake ndo ikawa jumlaaaa jumlaaa...
Arasii wee nisaidie tu kikadi nimfuate huko huko na mimi natamani kupanda " kipita juu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap!!! Mwajuma/Mama Abdalla huyo kwa Tv "namtafuta bwana angu Shimba ila jina la mbele hakuniambia,nina mtoto wake, anitumie hela tu matumizi ntapanga mwenyewe"
 
Cha ajabu poll #s kwa hillibillies wapiga kura wake ndo zinazidi kupanda. Zamani skendo kama hizi zilitosha kumwachisha mtu uraisi na au kumkosesha ushindi. Lakini lenyewe limo tu...

Wale wabaguzi tu, na hao Evangelical ndio bure kabisa! Hao Wabaguzi wa huko vijijini acha Mchina akaze vyuma, sijui watauza wapi hao nguruwe na mazao mengine! Mchina keshasema ameanza kufanya mchakato kuyapata hayo mahitaji yake kutoka Latin America, hasa Brazil!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...
Alivyoondoka na makengele yake ndo ikawa jumlaaaa jumlaaa...
Arasii wee nisaidie tu kikadi nimfuate huko huko na mimi natamani kupanda " kipita juu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap!!! Mwajuma/Mama Abdalla huyo kwa Tv "namtafuta bwana angu Shimba ila jina la mbele hakuniambia,nina mtoto wake, anitumie hela tu matumizi ntapanga mwenyewe"

Hahaa! Shimba hatapaona pa kujificha! Haya mambo haya! [emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...
Alivyoondoka na makengele yake ndo ikawa jumlaaaa jumlaaa...
Arasii wee nisaidie tu kikadi nimfuate huko huko na mimi natamani kupanda " kipita juu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap!!! Mwajuma/Mama Abdalla huyo kwa Tv "namtafuta bwana angu Shimba ila jina la mbele hakuniambia,nina mtoto wake, anitumie hela tu matumizi ntapanga mwenyewe"
Jizazi....

Halafu iwe kwenye TV laivu sasa...

Nimeona umati wa wanawake wote wale nikasikitika sana. As men we have to do better and be there for our kids. Vimalaika vya Mungu havina makosa na kwangu mimi kuvitelekeza ni kosa ambalo halisameheki kabisa.
 
Wale wabaguzi tu, na hao Evangelical ndio bure kabisa! Hao Wabaguzi wa huko vijijini acha Mchina akaze vyuma, sijui watauza wapi hao nguruwe na mazao mengine! Mchina keshasema ameanza kufanya mchakato kuyapata hayo mahitaji yake kutoka Latin America, hasa Brazil!
Hivi huko nako kuna kipindi kunakuwaga kugumu(kisiasa) kihivyo?
 
Wale wabaguzi tu, na hao Evangelical ndio bure kabisa! Hao Wabaguzi wa huko vijijini acha Mchina akaze vyuma, sijui watauza wapi hao nguruwe na mazao mengine! Mchina keshasema ameanza kufanya mchakato kuyapata hayo mahitaji yake kutoka Latin America, hasa Brazil!
Tayari watu wa Trump wanasema anatishia tu eti ili kupata leverage wakianza majadiliano. Wachina wajanja sana. Yeye anahangaika kuwekea tarrifs aluminum wenyewe wanawekea pork kule Iowa, Ginseng Wisconsin na mazao mengine ya ma hillibillies. Very strategic yaani...

Hao evangelicals ndo wanauharibu Ukristo kwa unafiki wa waziwazi na double standard. Wako tayari kusamehe makosa yote ya huyu jamaa wakati juzi juzi tu hapa walikuwa wanamkoromea Obama kwa ishu ndogo ndogo tu. Shithole politics...
 
Back
Top Bottom