Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jizazi....

Halafu iwe kwenye TV laivu sasa...

Nimeona umati wa wanawake wote wale nikasikitika sana. As men we have to do better and be there for our kids. Vimalaika vya Mungu havina makosa na kwangu mimi kuvitelekeza ni kosa ambalo halisameheki kabisa.
Ukiweza kujitambua hauwezi kutelekeza mtoto. Ukiwa na akili timamu hauwezi kumzalisha mwanamke na usijue.
Mwanaume kuvua vua nguo hovyo kwa wanawake ni uchanga wa akili.
 
Ni kujidhalilisha kwa kweli. Na ukiliruhusu saksafoni likutawale basi jua kuwa huna hata hadhi ya kuitwa Homo Sapiens kwa sababu sifa mojawapo ya kuitwa binadamu ni kuishinda mikatale ya utashi na hulka za kihayawani...
 
Mtu anakuvuruga mpaka hata ile trust waliyokuwa nayo kwako wale uwapendao inapotea! Kazi ni kuirudisha tena!
Ndiyo kitu ambacho sikipendi huku. Yaani binti akikuzushia umempa kimdabuo cha tako as in slap it and watch it vibrate basi you are done. Kuna jamaa Mkenya alizoeana na denti wa kike mpaka denti siku moja akataka eti alishike saksafoni la jamaa kwa sababu amesikia eti ya Kiafrika ni makubwa. Jamaa akakataa na akaamua kumwadhibu kwa kumpeleka kwa Dean weee. Binti akacharuka kuwa eti jamaa ndiyo alikuwa anamlazimisha na alishawahi kumpiga vidole ofisini. Jamaa alifukuzwa kazi immediately mpaka akaamua kurudi nyumbani kabisa...Sad !!!
 
Ni kujidhalilisha kwa kweli. Na ukiliruhusu saksafoni likutawale basi jua kuwa huna hata hadhi ya kuitwa Homo Sapiens kwa sababu sifa mojawapo ya kuitwa binadamu ni kuishinda mikatale ya utashi na hulka za kihayawani...
Hakika mkuu,maisha yenyewe magumu. Usingizi unapata saa 8 hata haifiki saa 11 umekata,unaanza kufikiria maisha tena... Nitaendelea kufaidi mapicha picha ya humu.
 
It takes 8 minutes and 20 seconds for light to travel from the Sun to the Earth!
30077421_786630671546185_506369725006086144_n.jpg
 
Ndiyo kitu ambacho sikipendi huku. Yaani binti akikuzushia umempa kimdabuo cha tako as in slap it and watch it vibrate basi you are done. Kuna jamaa Mkenya alizoeana na denti wa kike mpaka denti siku moja akataka eti alishike saksafoni la jamaa kwa sababu amesikia eti ya Kiafrika ni makubwa. Jamaa akakataa na akaamua kumwadhibu kwa kumpeleka kwa Dean weee. Binti akacharuka kuwa eti jamaa ndiyo alikuwa anamlazimisha na alishawahi kumpiga vidole ofisini. Jamaa alifukuzwa kazi immediately mpaka akaamua kurudi nyumbani kabisa...Sad !!!

[emoji1][emoji1][emoji1]... Huku bana ukitaka mambo yako yaende kusiko, basi binti akusingizie huu msala, ni balaa! Na kama wewe ndio mzamiaji, huna mbele wala nyuma wazee wa kazi wanakupiga Tanganyika jeki, breki ya kwanza airport! [emoji23][emoji23]
 
Hakika mkuu,maisha yenyewe magumu. Usingizi unapata saa 8 hata haifiki saa 11 umekata,unaanza kufikiria maisha tena... Nitaendelea kufaidi mapicha picha ya humu.
Halafu unajua watu wanafikiri mbwembwe zetu na matani ya humu ndivyo tulivyo in real life. Wroooooooooooong [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
It takes 8 minutes and 20 seconds for light to travel from the Sun to the Earth! View attachment 739949
Safi sana mkuu. Unajua mwanga huo huo huchukua muda gani kutoka katikati ya jua unakozalishwa (kama photon) mpaka kufika nje ya jua na kuwa emitted kuanza safari hiyo ya dakika 8:20 kutujia? Ni maajabu makubwa !!!
 
Back
Top Bottom