Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kubadilika kwetu ni maamuzi, tunaweza kukwama kwenye vitu tusivyovipenda, kwa kuamini kuwa haviwezi kubadilika, lakini hisia hizo zinaweza kubadilika tunapokumbuka kuwa mabadiliko huanzia ndani yetu na kuelekea kwenye jamii. Hio ni msingi ya kweli ya ubongo wetu.