Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kujidhalilisha kwa kweli. Na ukiliruhusu saksafoni likutawale basi jua kuwa huna hata hadhi ya kuitwa Homo Sapiens kwa sababu sifa mojawapo ya kuitwa binadamu ni kuishinda mikatale ya utashi na hulka za kihayawani...
[emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818]
 
Huyu na mange hawana tofauti,wakiwa na pesa wanatumia zote kununulia nguo za kufanyia mashauzi,just imagine bidada akalazimisha wakaishi mitaa ya isis tena nyumba ya ghorofa ya kupanga badala ya kuish nyumba ya kawaida huku wakijenga yao
Nimeona watangazaji wengi wanakimbilia kuishi Masaki,kuna mmoja namhaidi Id kapanga kibanda kwa anko analipa sh.1,400,000 kwa mwezi.Kibanda chenyewe cha hovyo tu.
Sijui wanapata wapi hela za kuchezea? Nikimuona najishiaga tu kusema "hiiiiiiiiiii" in Magu's voice
 
Tatizo tunakufa kwa kujitia vitanzi wenyewe.

Pesa ya mashaka, lakini bado wataka uishi kimalaika,, Ndo mwanzo wa matatizo na kashfa zote unazozijua.
Tatizo tunatafuta hela ila maana halisi hatuyajui ndio maana tunatumia hovyo hovyo.Hatujui kuwa hela ukubwa wa thamani yake ni wa pili baada ya pumzi/uhai. Sijui kwanini tunaidharau sana pesa?
 
Nimeona watangazaji wengi wanakimbilia kuishi Masaki,kuna mmoja namhaidi Id kapanga kibanda kwa anko analipa sh.1,400,000 kwa mwezi.Kibanda chenyewe cha hovyo tu.
Sijui wanapata wapi hela za kuchezea? Nikimuona najishiaga tu kusema "hiiiiiiiiiii" in Magu's voice
Hela za magendo hivyo wanaona zitazidi kumiminika kila siku. Mfano wasanii kama h baba na wema dah kuna kipind walizifuma pesa wema akaenda panga nyumba ya milion 200 akasingizia kainunua mambo yalipobuma akaumbuka,hbaba alipanga ghorofa kila siku insta mapichapicha alipofulia ndoa ikasambaratika,mke akarudi kwao, Saiv naona anatupia picha numba nzuri kwamba kajenga nzuri mwanza na mke anaanza kurudi hahaha jaman
 
Yaan hawa wadada wangezitumia pesa vizuri saiv wangekua na maisha bora kabisa bila kulalamika wala kutukana watu
Labda wanaona ufahari, unajipa kashfa mwenyewe...Na mimvua hii kubebelea watoto utafikiri waenda clinic...

Naimani wengi hapo wamewapata hao watoto kishkaji tu..Kwanini ujanja wanao jitia sasa hivi wasingeutumia kuzuia hicho kilichofanya waende kwa RC???
 
Muuza maziwa kaja kunigongea mlango asubuhi mapema na kuniambia leo ana maziwa mazuri sana, nikamwambia nipatie lita 5, wakati ananipimia ile kuyacheki nikakuta maziwa kama yana mafuta ikabidi nimuulize;
Mimi: Hivi haya maziwa si itakuwa ya ngombe jike?
Muuzaji: Inawezekana kabisa ikawa hivyo, ulijuaje?
Mimi: Si nimeona yana mafuta
Muuzaji: Itakuwa ya ng'ombe jike haya, hata mimi nimeona

Alipoondoka ndio ikabidi nicheke tu maana kumbe sote tulivuta bangi asubuhi.
*hakuna maziwa ya ngombe dume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda wanaona ufahari, unajipa kashfa mwenyewe...Na mimvua hii kubebelea watoto utafikiri waenda clinic...

Naimani wengi hapo wamewapata hao watoto kishkaji tu..Kwanini ujanja wanao jitia sasa hivi wasingeutumia kuzuia hicho kilichofanya waende kwa RC???
Kabisaaa unajua wengi ni wale waliozitegesha wakitegemea ndoa na ukute hata hawakua na mahusiano hai yenye upendo. Wapo waliohadaiwa kwa maneno ya mashosti zaa tu bwana ukichelewa utajikuta mzee huna watoto wewe changamka basi bibie analengesha tu

Yule wa mchina ndo special kesi jaman sijui walikua wakiongea lugha gani au ndo vile kutaka katoto afrokast

Joy bana kama anataka sifa za kisiasa hapo ana yake maana kwenye gazet la kumchamba mumewe alisema yeye ndo anayelisha familia na kusomesha watoto,so angeendelea tu kupambana na hali yake
 
Back
Top Bottom