Kuna harufu ya siasa kwenye hili mkuuUjinga wa hali ya juu huu. Huu ni ubaguzi wa kutisha. Yaani kuthibitisha uraia wako kwa kutumia makaburi!!!!? Na kama kwenye hayo makaburi kuligeuzwa mashamba au makazi ya watu basi weye si Raia!!!!
UPUUZI MTUPU!!!!
Chukua hio ya kutoka ukanda huu wa gaza...Likes zinatolewa kikanda nini?
kes tamu kama pipiLikes za asubuhi