Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakuna kitu kama hicho. Mwanaume awe na stress ya nini? Kwani lazima kuoa? Nyie mabinti jamii ndo imewabebesha limzigo lizito eti lazima kuolewa. It is not necessary kabisa. Marriage is a fraud [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Hivi kuolewa ni mzigo eeh??
 
Hebu nisaidie nikusaidie kuomba msamaha...yaani tusaidiane.Ila na mimi nikiingizwa kwenye kachumba ka giza ndo basi tena...ila nitawamisi wale kunguru wenye kuvaa shati jeupe na koti jeusi[emoji134] [emoji134] [emoji134] nae mzee wa liver kuzurura kwake ndo ana sababishaga familia iparaganyike huku nyuma,anadhani mama huku hammisi?!!! Tuanze sala ya msamaha[emoji120]

Tuombeee...
Mama yetu ISIS uliye huko Masaki
Jina lako kila mtu analipenda hapa jukwaani
Ucheshi wako ndio tiba kwa watoto watukutu kama Shimba
Umejawa na huruma kwetu,hadi uliweza kumtetea na kumpigania ho chi minh arudi kundini kutoka kwenye mikono ya mibaba yenye hasira(ila hapo sijui alikuwa ni mzee wa liver au uniq),sembuse haka Kashimba?

Usichoke kutusamehe mama Tanzania,kwakuwa utukutu kwenye uzi huu ni lazima uendelee kuwepo hadi mwisho

Kwa kuwa mamlaka ni yako,usinitie kwenye kachumba ka giza kama alivyo Shimba, ingawa kosa ni langu kwa kiherehere,bali unichukulie tu kama na mimi nimejikwaa
Kwa jina la mama wa dunia,ISIS,mama yetu mcheshi,mpole mtu wa watu,niseme tu litakalo nikuta,nimelitafuta na ntalipata. Amen
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ujinga wa hali ya juu huu. Huu ni ubaguzi wa kutisha. Yaani kuthibitisha uraia wako kwa kutumia makaburi!!!!? Na kama kwenye hayo makaburi kuligeuzwa mashamba au makazi ya watu basi weye si Raia!!!!

UPUUZI MTUPU!!!!
Last year nimejaribu kupata kitambulisho cha Taifa nikakwama. Vyeti vya kuzaliwa vya baba na mama vinatakiwa, na cha bibi na babu ikibidi wakati hata mimi tu sina. Halafu mtu unapewa pasipoti wakati kitambulisho cha Taifa huwezi. Very perplexing !!!

Uraia na uzaliwa kutumiwa kama silaha ya kisiasa siyo jambo geni hasa kwenye hizi shithole countries. Naona hata kwa Obama walijaribu akina Trump kipindi kile wakashindwa...
 
246205096_29260.jpg
 
Back
Top Bottom