Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1522766731859.jpg
 
Hivi kuolewa ni mzigo eeh??
Hapana. Presha ya kuoa na kuolewa yawezekana ni mzigo. Ingekuwa lazima hata nature ingebidi ibalansi idadi kwa jinsia zote mbili. Sasa wanawake mko dabo na bado kuna midume siku hizi imeanza kuoana myenyewe kwa myenyewe. Kwa mantiki ya kawaida kuna wanawake hawatapata waume hata kama wanataka kuolewa - na wakati huo huo jamii inawategemea kuolewa. Mkanganyiko we huuoni?
 
Hebu nisaidie nikusaidie kuomba msamaha...yaani tusaidiane.Ila na mimi nikiingizwa kwenye kachumba ka giza ndo basi tena...ila nitawamisi wale kunguru wenye kuvaa shati jeupe na koti jeusi[emoji134] [emoji134] [emoji134] nae mzee wa liver kuzurura kwake ndo ana sababishaga familia iparaganyike huku nyuma,anadhani mama huku hammisi?!!! Tuanze sala ya msamaha[emoji120]

Tuombeee...
Mama yetu ISIS uliye huko Masaki
Jina lako kila mtu analipenda hapa jukwaani
Ucheshi wako ndio tiba kwa watoto watukutu kama Shimba
Umejawa na huruma kwetu,hadi uliweza kumtetea na kumpigania ho chi minh arudi kundini kutoka kwenye mikono ya mibaba yenye hasira(ila hapo sijui alikuwa ni mzee wa liver au uniq),sembuse haka Kashimba?

Usichoke kutusamehe mama Tanzania,kwakuwa utukutu kwenye uzi huu ni lazima uendelee kuwepo hadi mwisho

Kwa kuwa mamlaka ni yako,usinitie kwenye kachumba ka giza kama alivyo Shimba, ingawa kosa ni langu kwa kiherehere,bali unichukulie tu kama na mimi nimejikwaa
Kwa jina la mama wa dunia,ISIS,mama yetu mcheshi,mpole mtu wa watu,niseme tu litakalo nikuta,nimelitafuta na ntalipata. Amen
carbamazepine njoo !!!

Shemejiyo kaanza huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa sala hii ngoja nianze kuhesabu masaa tu ya kuwa huru. Thaaaaaaaaankssss...!!!
 
Hapana. Presha ya kuoa na kuolewa yawezekana ni mzigo. Ingekuwa lazima hata nature ingebidi ibalansi idadi kwa jinsia zote mbili. Sasa wanawake mko dabo na bado kuna midume siku hizi imeanza kuoana myenyewe kwa myenyewe. Kwa mantiki ya kawaida kuna wanawake hawatapata waume hata kama wanataka kuolewa - na wakati huo huo jamii inawategemea kuolewa. Mkanganyiko we huuoni?
[emoji736][emoji736][emoji736]
 
Back
Top Bottom