Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu wa zamani wa waamuzi England Keith Hackett haelewi ni kwa nini Martin Atkinson hakumfukuza wuanjani beki wa Manchester United Ashley Young wakati wa mechi yao dhidi ya Manchester City. Amesema vitendo vya Atkinson ni thibitisho tosha ya kuonesha ni kwa nini waamuzi wa England waliachwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu. (Telegraph)
 
1523125467231.gif
 
Duh kubet sijui na pia hata sitajaribu,bora kuitumia pesa kununua kiepe kuliko kuunguza kwenye bet
Weeeee kubeti raha...

Unaweka elfu 20
Unaipa ushindi timu 3 tu
Pesa taslimu inakuja Tshs: 1 laki.

Vijana wanafeli kwa sababu wanaweka Tshs: 500 halafu ana bashiri timu 20 sasa unategemea kila siku utatabiri ushindi sahihi na kupata pesa,
Siku moja moja ni kujitoa kafara kwa kuweka hata elfu 30 na kubashiri timu si zaidi ya 5 kwa uhakika ukiliwa una vumilia tu. [emoji1] [emoji13]
 
Mbona unachelewa sana,, weka laki 5 upate m1[emoji28][emoji28][emoji28],, unakuwa kama unacheza na sindano kwenye tundu la choo.
 
Weeeee kubeti raha...

Unaweka elfu 20
Unaipa ushindi timu 3 tu
Pesa taslimu inakuja Tshs: 1 laki.

Vijana wanafeli kwa sababu wanaweka Tshs: 500 halafu ana bashiri timu 20 sasa unategemea kila siku utatabiri ushindi sahihi na kupata pesa,
Siku moja moja ni kujitoa kafara kwa kuweka hata elfu 30 na kubashiri timu si zaidi ya 5 kwa uhakika ukiliwa una vumilia tu. [emoji1] [emoji13]
Lakini bahati nasibu bado ni bahati nasibu tu. In the long run lazima uliwe tu hata ufanyeje !!!
 
Hakuna kitu kama hicho. Mwanaume awe na stress ya nini? Kwani lazima kuoa? Nyie mabinti jamii ndo imewabebesha limzigo lizito eti lazima kuolewa. It is not necessary kabisa. Marriage is a fraud [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Naona tayari nsharudishwa huko. Sijui kuna mtu alinichongea? Shida tupu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nahisi kama Numbisa ndiye alinichongea....
Hebu nisaidie nikusaidie kuomba msamaha...yaani tusaidiane.Ila na mimi nikiingizwa kwenye kachumba ka giza ndo basi tena...ila nitawamisi wale kunguru wenye kuvaa shati jeupe na koti jeusi[emoji134] [emoji134] [emoji134] nae mzee wa liver kuzurura kwake ndo ana sababishaga familia iparaganyike huku nyuma,anadhani mama huku hammisi?!!! Tuanze sala ya msamaha[emoji120]

Tuombeee...
Mama yetu ISIS uliye huko Masaki
Jina lako kila mtu analipenda hapa jukwaani
Ucheshi wako ndio tiba kwa watoto watukutu kama Shimba
Umejawa na huruma kwetu,hadi uliweza kumtetea na kumpigania ho chi minh arudi kundini kutoka kwenye mikono ya mibaba yenye hasira(ila hapo sijui alikuwa ni mzee wa liver au uniq),sembuse haka Kashimba?

Usichoke kutusamehe mama Tanzania,kwakuwa utukutu kwenye uzi huu ni lazima uendelee kuwepo hadi mwisho

Kwa kuwa mamlaka ni yako,usinitie kwenye kachumba ka giza kama alivyo Shimba, ingawa kosa ni langu kwa kiherehere,bali unichukulie tu kama na mimi nimejikwaa
Kwa jina la mama wa dunia,ISIS,mama yetu mcheshi,mpole mtu wa watu,niseme tu litakalo nikuta,nimelitafuta na ntalipata. Amen
 
Back
Top Bottom