andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Huko kwa moto sirudi tenaWanaume wa Jamiiforum ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?
Nashika nafasi ya money peny nawasalimu wana likes.
Huko kwa moto sirudi tenaWanaume wa Jamiiforum ambao hampati PM wala kujibiwa PM na wanawake jiulize mpo kwenye Majukwaa gani?
Nashika nafasi ya money peny nawasalimu wana likes.
Paule labile pogber
Siyo kinyume chake kweli? Maisha yalikuwa ya kujishughulisha sana na misuli ilikuwa inakuja naturale. Ilikuwa nadra sana kuwa na kitambi. Vitambi ni juhudi za binadamu tena za baada ya Industrial revolution !!!Kumbe zamani kilikuwa na gym naona watu wamejaa misuli. [emoji13] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Black Jesus...Nooo..Jesus was black...
Sis kwema? Kama nipo kwenye ignore list naomba unitoe please. Namiss likes zako. Hata kosa langu silijui jamani....
Naona tayari nsharudishwa huko. Sijui kuna mtu alinichongea? Shida tupu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mijitu ya siku hizi wanaenda gym kupoteza pesa na muda mazoezi hawafanyi wanacheza cheza tuuuuuuu atoke jasho ili mradi naye aonekane ametoka gym. [emoji1]Siyo kinyume chake kweli? Maisha yalikuwa ya kujishughulisha sana na misuli ilikuwa inakuja naturale. Ilikuwa nadra sana kuwa na kitambi. Vitambi ni juhudi za binadamu tena za baada ya Industrial revolution !!!
Siyo kinyume chake kweli? Maisha yalikuwa ya kujishughulisha sana na misuli ilikuwa inakuja naturale. Ilikuwa nadra sana kuwa na kitambi. Vitambi ni juhudi za binadamu tena za baada ya Industrial revolution !!!