Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna sehemu nne za mimi kama mimi za mitazamo
Sisi ni akina nani tunaweza kuzishawishi hizi sehemu
Nyumbani— kibaiolojia——kijamii—–kujiona wewe.
Mbili kati ya hizi ziko ndani ya miili yetu, uwanja wa kibaiolojia wa ubongo wetu na mwili, na uwanja mwingine tunaoita jinsi mimi ninavyoona mwenyewe. Uwanja wa nadharia ya akili.