Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisaaa unajua wengi ni wale waliozitegesha wakitegemea ndoa na ukute hata hawakua na mahusiano hai yenye upendo. Wapo waliohadaiwa kwa maneno ya mashosti zaa tu bwana ukichelewa utajikuta mzee huna watoto wewe changamka basi bibie analengesha tu

Yule wa mchina ndo special kesi jaman sijui walikua wakiongea lugha gani au ndo vile kutaka katoto afrokast

Joy bana kama anataka sifa za kisiasa hapo ana yake maana kwenye gazet la kumchamba mumewe alisema yeye ndo anayelisha familia na kusomesha watoto,so angeendelea tu kupambana na hali yake

[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️ Jamani, eti wanazitegesha! [emoji1]
 
Nimeona watangazaji wengi wanakimbilia kuishi Masaki,kuna mmoja namhaidi Id kapanga kibanda kwa anko analipa sh.1,400,000 kwa mwezi.Kibanda chenyewe cha hovyo tu.
Sijui wanapata wapi hela za kuchezea? Nikimuona najishiaga tu kusema "hiiiiiiiiiii" in Magu's voice
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom