Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kukataliwa, bila shaka, inaweza kuwa na maumivu.Inakuja kwa hali nyingi , kukataliwa kimapenzi ni aina moja, Fikiria hii ifuatayo, Unamwendea mtu ambaye anakuvutia , anaweza kuwa ni mwanamke au mwanamume ili kutaka kutoka nae siku ya jumamosi usiku kwa mfano.;
 
ni ya kukataliwa au ya kujiona kuwa umejaribu na kuanza kujipongeza kwa hatua hio, utaanza kuimba wimbo wa haleluya au masikitiko ndani ya kichwa chako? Au unasikia ndani yako kama unaambiwa wewe ni mbaya, hufai , umezeeka, ndani ya sauti yako .
 
na uwezekano wa kurekebisha sauti zetu za ndani upo . kwa vile tulivyo wanadamu , ndivyo mambo ya kawaida yanakuwepo kwetu kujaribu kumbadilisha mtu mwingine au hali iliopo ili kutuliza sauti zetu za ndani, na nategemea kwamba wote tunajua jinsi ambavyo vinaweza kuondoka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...
Alivyoondoka na makengele yake ndo ikawa jumlaaaa jumlaaa...
Arasii wee nisaidie tu kikadi nimfuate huko huko na mimi natamani kupanda " kipita juu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap!!! Mwajuma/Mama Abdalla huyo kwa Tv "namtafuta bwana angu Shimba ila jina la mbele hakuniambia,nina mtoto wake, anitumie hela tu matumizi ntapanga mwenyewe"
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Ila Andjul...
 
Huyu na mange hawana tofauti,wakiwa na pesa wanatumia zote kununulia nguo za kufanyia mashauzi,just imagine bidada akalazimisha wakaishi mitaa ya isis tena nyumba ya ghorofa ya kupanga badala ya kuish nyumba ya kawaida huku wakijenga yao
Tatizo tunakufa kwa kujitia vitanzi wenyewe.

Pesa ya mashaka, lakini bado wataka uishi kimalaika,, Ndo mwanzo wa matatizo na kashfa zote unazozijua.
 
Back
Top Bottom