anaeweza kusimamia vidole....
Ondoka zako hapa. Hatukimbiagi majukumu sisi. Kwema?[emoji23][emoji23][emoji23]halafu yasemekana ni wanaume wa mikoani ndo wametelekeza familia zao dar
[emoji28][emoji28][emoji28], ndo umnunuliage antie achezeeMbona inatisha hivi?[emoji23][emoji23]
duh!5.Mtu anakukodolea macho toka mwanzo mpaka mwisho wa safari. Kumzuia mtu huyu, na wewe mtazame sehemu mojawapo ya mwili wake(isiwe usoni ). na atakosa ujasiri huo tena!
Si mnataka kila kitu black?Mbona inatisha hivi?[emoji23][emoji23]
Na kwako piaNawatakia mchana mwema
[emoji28][emoji28], wamekwenda kutafuta maisha bwana, wamama wawe wavumilivu baba watoto wao watarudi.[emoji23][emoji23][emoji23]halafu yasemekana ni wanaume wa mikoani ndo wametelekeza familia zao dar
Mzee wa kuliamsha dude kapoa siku hizi. Labda msimu wa malimao haujafika...Hahaaaaaaaa mimi mtanganyika halisi
Kazi kweli kweliAisee, kweli??View attachment 740120