Nia ni nzuri lakini upokeaji wa hii imekuwa kukomoana zaidi kwa wenzaMaofisa ustawi wa jamii waliokuwa wakisikiliza mashauri hayo, waliwachukua wenza hao na kuingia nao ndani, huku Sylvia akionekana mwenye hasira na kuahidi ataongea kwa kina na wanahabari.
MCL Digital itaendelea kukujuza kwa kina yanayojiri kutoka katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa mkoa.
Halijaharibika neno kamanda. Mimi kazi yangu huwa huwa ni kuweka fungu lililotajwa ili na wengine wafaudu. Na kila neno linafaa kwa mambo ya kiroho....Mkuu typing error nilimaanisha
Yeremiah 33:3
Yaani hiyo ni jino kwa jinoSafi sana Mohammed Juma [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].
So sadWamesema kama Makonda ameamua kuwasaidia wanawake basi ajue wapo wanaume wanaolia kunyanyaswa na wake zao.
"Mke wangu alinikimbia nilipougua miguu kiasi cha kushindwa kutembea, aliondoka na watoto wangu wote watatu, nimekuwa mtu wa mawazo kiasi cha kupata vidonda vya tumbo naomba awarudishe," amesema Tito Chemba, mkazi wa Kijichi jijini Dar es Salaam.