mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha kweli mkuu linabahati sanaLilifanya timing ya kufa mtu. Sijui na bahati nayo inahusika. Na mpinzani akawa na baggages kibao. Wakalidharau dharau na limevunja karibu kila standard na kanuni walizojiwekea. Republican wenyewe sasa hawajulikani hata wanasimamia nini na wamekazana tu kusema "Trump is not a republican" wakati wanamuunga mkono kwa kila kitu...