Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

29090210_154118618598167_7775564052004077568_n.jpg
 
Jizazi....

Halafu iwe kwenye TV laivu sasa...

Nimeona umati wa wanawake wote wale nikasikitika sana. As men we have to do better and be there for our kids. Vimalaika vya Mungu havina makosa na kwangu mimi kuvitelekeza ni kosa ambalo halisameheki kabisa.
List ikitoka utashangaa kuna mtu anatafutwa hapo kuharibiwa
 
Tayari watu wa Trump wanasema anatishia tu eti ili kupata leverage wakianza majadiliano. Wachina wajanja sana. Yeye anahangaika kuwekea tarrifs aluminum wenyewe wanawekea pork kule Iowa, Ginseng Wisconsin na mazao mengine ya ma hillibillies. Very strategic yaani...

Hao evangelicals ndo wanauharibu Ukristo kwa unafiki wa waziwazi na double standard. Wako tayari kusamehe makosa yote ya huyu jamaa wakati juzi juzi tu hapa walikuwa wanamkoromea Obama kwa ishu ndogo ndogo tu. Shithole politics...
Shithole politics in Trump voice[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nani kakuweka kwenye ignore list mkuu
Ni utani tu mkuu kama kawaida. Niwe kwenye ignore list ya mtu nisiwe hainipunguzii wala kuniongezea cho chote. Binafsi nilishasema kuwa sitamweka mtu kwenye ignore list kwa sababu kufanya hivyo mara nyingi ni dalili ya kutawaliwa na mihemko, kukosa uvumilivu kwa mawazo kinzani, kutokomaa na self-righteousness-all dangerous traits for an open mind. Tuendelee kukamata likes na kufurahi kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Yaani lina bahati sana hivi ni Rais gani ambaye hajawahi kuwa mwanasiasa au government worker katika historia ya US
Lilifanya timing ya kufa mtu. Sijui na bahati nayo inahusika. Na mpinzani akawa na baggages kibao. Wakalidharau dharau na limevunja karibu kila standard na kanuni walizojiwekea. Republican wenyewe sasa hawajulikani hata wanasimamia nini na wamekazana tu kusema "Trump is not a republican" wakati wanamuunga mkono kwa kila kitu...
 
Back
Top Bottom