Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeona watangazaji wengi wanakimbilia kuishi Masaki,kuna mmoja namhaidi Id kapanga kibanda kwa anko analipa sh.1,400,000 kwa mwezi.Kibanda chenyewe cha hovyo tu.
Sijui wanapata wapi hela za kuchezea? Nikimuona najishiaga tu kusema "hiiiiiiiiiii" in Magu's voice
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hela za magendo hivyo wanaona zitazidi kumiminika kila siku. Mfano wasanii kama h baba na wema dah kuna kipind walizifuma pesa wema akaenda panga nyumba ya milion 200 akasingizia kainunua mambo yalipobuma akaumbuka,hbaba alipanga ghorofa kila siku insta mapichapicha alipofulia ndoa ikasambaratika,mke akarudi kwao, Saiv naona anatupia picha numba nzuri kwamba kajenga nzuri mwanza na mke anaanza kurudi hahaha jaman
Hila wanawake Mungu anawaona ati
 
Back
Top Bottom