Namsikiliza AY hapa anasema "NAKULA KWA MACHO"
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
koh koh koh, hv anaitwa nani vile
Urari wa vina na mizani safi kabisa !!!Ana rangi fulan ya kimanga, lugha lafudhi ya kitanga, usiombe akapita na kanga, [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
"Wanyama wote ni sawa lakini wanyama wengine ni sawa zaidi ya wengine"Kweli ndio ahadi ya MwanaTanu lakini kwa sasa hii slogan ni mfu
enzi hiyo..Dada wa Juma Ni Roza
Katiba, katiba, katiba....FBI wampekua wakili wa raisi...
hili haliwezekani kusini mwa jangwa la sahara