carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Khaaa!!ili ashindwe kulala usiku?[emoji28][emoji28][emoji28], ndo umnunuliage antie achezee
Khaaa!!ili ashindwe kulala usiku?[emoji28][emoji28][emoji28], ndo umnunuliage antie achezee
Nachukia watu za hivi basi tu7.kuchunguza simu ya mtu mwingine. Umekaa kwenye siti kuna mtu amesimama nyuma yako anachunguza kila unachokifanya kwenye simu yako, ukisogeza pembeni nayeye yumo!
Kujitambua hakunitishi ila hiyo midoli hapana kwakweliSi mnataka kila kitu black?
Kujitambua kunakutisha?
Hahahahaha lazima atakuwa anahamasisha 26/4Mange anasemaje leo?
jirani yuko wako wapiiiii........Nachukia watu za hivi basi tu
[emoji28][emoji28]I stopped dating in class 5when bae left me for a guy who owns a mathematical set with 20 pens[emoji57][emoji19][emoji12]
Tutafika tuSikutegemea hata siku moja kuona nchi yetu inakuwa hapa ilipo sasa hivi. Chuki za kutisha kisa tu watu wang'ang'anie madarakani hata Viongozi wa dini ambao wanataka kuokoa jahazi wanaletewa kibri cha hali ya juu na kudharauliwa.
Hii sijui kama kweliSiasa ni kilimo