mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
NiniInauma sana
NiniInauma sana
Imekaaje hii my dearView attachment 740450 Kaaazi kweli kweli
Hahahahaha long time sanaKubadili Mchezaji
7. Inaruhusiwa kubadili Mchezaji endapo ataitwa kwao na akirudi, ataendelea na nafasi yake. Pia ni ruksa kubadili golikipa kama penati ikitokea na baada ya penati golikipa anaweza kuendelea yule wa mwanzo.
Nafurahi kama umeshaipata. Enzi hizo kijana wetu mlaiiiiiiniiii ...Maisha haya we acha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeisave mkuu kwa matumizi ya baadaye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishakwambia shemeji. Utazunguka mabucha yote ya avatar lakini hutakaa upate avatar kama hii....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikatafute avatar yangu
Hapo nadhani ukiwa na pesa. Kama huna hakuna cha woooiii wala nini. Utaambiwa tu kwenda zako na kibamia chako shwaiiinii...[emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii
Halafu unasifiwa kwa ahow ya kibabe,woooiiii
Pengine naye katelekeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imekaaje hii my dear
MamviMwanadada anaesemekana katelekezwa na baba yake..
[emoji28] Dunia hii.View attachment 740460
Halafu ushanijulia eeeeh!?Napendaga reaction yako tu wallah!!
Huwa nacheka vibaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Au unaweza kuibwa mwenyewe ohooo !!!ukilala mchana utaibiwa..
Jamaniii bro wangu....Hahahahah mtoto aje aanze uliza nyege ni nini akhu
Sana. Nina makovu kuprove kabisa. Nilikuwa nacheza namba tano tena ya kutegemewa kabisa....Ngoja nimchokoze mtu
SHIMBA YA BUYENZE ulishawahi cheza mpira wa miguu??[emoji125] [emoji125] [emoji125]