Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mustasari wa habari.

Mtoto wa mfanyabiashara nchini Uganda ( jina tunalo ) ameamua kwenda kula pasaka nchini Dubai na kutamba kwa kupiga picha na gari ya kifahari aina ya Lamborghini avendator na kuandika maneno ya kejeli kupitia akaunti yake ya instagramu akisema " diamond angeweza "
Baada ya nusu saa akajibiwa na ( kwa taarifa kamili usikose kutizama taarifa ya habari ifikapo saa 6 usiku ) [emoji13] [emoji1] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
23706230-E9D8-4DD1-BCB9-875EAB371049.jpeg
Ushaanza uchawi wako. [emoji13] [emoji23]
Uchawi ndiyo jadi!
Uchawi ndiyo maisha yangu!
Mimi ni mchawi number mmoja!
Haya sema!
 
Rapa wa zamani nchini marekani Tupac amaru shakur ameandika mapema Leo kwenye ukurasa wake wa twitter kuwa anatarajia kutembelea nchini mwezi ujao Tanzania na kufanya kolabo kali na msanii wa bongo fleva " Ali kiba "
[emoji23] [emoji1] [emoji13]
 
Back
Top Bottom