mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Vipi carba na mgumu Cole itapenzeza zaidiMe naona mchina mweusi na malkia watafaa zaidi
Vipi carba na mgumu Cole itapenzeza zaidiMe naona mchina mweusi na malkia watafaa zaidi
[emoji28][emoji28][emoji28]Ndo Carba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cariba ndo nani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me simoooKwa vyoyote watakuwa wasukuma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapo wanalinda status zao tuNitashangaa kama kiongozi wa dini atakuwa amezaa mtoto na kumtelekeza....
Hilo nalo nenoOhooo mpira unadunda mambo yasije wageukia mkatafuta visingizio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Temea mate chini naona unatafuta makwenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AiseeYou pay 1,000,000/- dowry, spend 2,000,000/- on your wedding, build a house worth 10,000,000/- then buy a car worth 5,000,000/- halafu ka SMS Ka 1/- kanawakosanisha!
Unyakyusani hakuna ziwa,mto wala bahari kusema watavua samaki kama huyo,kwa vyovyote vile hawa ni.....,[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wanyakyusa...
Na usishangae wakawa Wakerewe. Kwani huyo kwenye picha siyo mamba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jizazi....
Mi sijawahi ona mtoto wa kishua kutoka Masaki Peninsula. Napendekeza wewe na malkia muutendee haki uzi wetu pendwa...