Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu 75 years kwa waliopendelewa ukiongeza kumi moja ni 85 lakini now days ,peoples dying to young
Hali sasa ni mbaya sana na sijui ni kwa nini. Generation inayomaliza muda wake wengi wanaondoka wakiwa 90s. Sasa sisi na hii dot com inayotufuatia sijui kama hata hiyo 75+ tutafikisha. Something has changed !!!
 
Mvua na kaubaridi pia.

Kuna vitu huwa sielewi,hivi unaanzaje kutelekeza mtoto wako?hujiulizi wewe unhefanyiwa hivyo ungekuwa wapi sasa hivi?
Halafu kucha tunaanza kusema masingo maza kama wanajipa mimba wenyewe.aaaggrr
Na wengi wanaofanya hivyo nao walikua bila mababa. Ni vicious cycle....
 
Back
Top Bottom